Rais Samia azungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi mbalimbali nchini Oman
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi Wanawake ambao ni Wakuu wa Taasisi
mbalimbali nchini Oman kwenye mkutano uliofanyika katika Kasri ya Al Alam,
Muscat nchini humo tarehe 14 June, 2022.
No comments:
Post a Comment