July 14, 2022

CEO NMB apongezwa


BENKI ya NMB imempongeza Afisa Mtendaji Mkuu Ruth Zaipuna kwa kutunukiwa tuzo ya heshima ya Uongozi Bora wa Biashara Afrika 2022 kutoka jarida la kimataifa la ‘African Leadership Magazine’ la Nchini Uingereza kwenye hafla iliyofanyika kwenye kumbi za Bunge nchini Uingereza.
 
Tunajivunia kuwa na kiongozi shupavu anayetuongoza vyema.
 
Kwa niaba ya Uongozi wa benki, tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wateja na wadau wetu  kwa kutuamini na kuendelea kutuunga mkono na hivyo kuendelea kuleta matokeo chanya kwenye jamii ya watanzania.

 

No comments:

Post a Comment

Pages