July 17, 2022

RAIS DK. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA MICHEZO

 

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiendesha gari ya michezo (Ballcut) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanja cha michezo cha " The Legend Sports Center "  kichongengwa katika eneo la Kombeni Kisakasaka Wilaya ya Magharibi "B" Unguja wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo  kutembelea ujenzi wa Miradi ya Maendeleo leo 17-7-2022. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages