July 11, 2022

Rais Samia asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Japan na Angola Jijini Dar es Salaam

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Jose Aduardo dos Santos aliyefariki dunia nchini Hispania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Japan nchini Tanzania kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa nchi hiyo Shinzo Abe aliyeuawa kwa kupigwa risasi nchini Japan tarehe 8 Julai, 2022.

No comments:

Post a Comment

Pages