August 12, 2022

ADO SHAIBU MGUU SAWA UBUNGE EAC


Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo leo Agosti 12, 2022, amerejesha fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake kuwa mgombea wa Ubunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA).

Pichani kushoto Ado akikabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi, Ndugu Mohamed Massaga,   Makao Makuu ya Chama, Kijitonyama, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages