August 04, 2022

CRDB yanogesha tamasha la SIMBA DAY

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Mil. 25 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba,
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, ikiwa ni udhamini wa benki hiyo katika tamasha la SIMBA DAY litakalofanyika Agosti 8, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, katika akiwasilimia wadau waliofika katika mkutano wa kutangaza makubaliano walioingia kati ya Benki ya CRDB na Simba katika tamasha la SIMBA DAY. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.



No comments:

Post a Comment

Pages