Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Ashatu Kijaji , akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma mwishoni mwa wiki akitoa taarifa ya Tathimini ya Mwenendo wa Bei za Vyakula na vifaa vya ujenzi katika mikoa ya Dodoma, Iringa na Dar es Salaam. Wengine ni maofisa wa Wizara hiyo.
Wanafunzi wanaolelewa katika kituo cha Matumaini kilichopo Ilazo jijini Dodoma, wakicheza ngoma ya kihaya katika maadhimisho ya miaka 20 ya kituo hicho katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki. Picha na Deus Mhagale.
No comments:
Post a Comment