Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Orca Energy ambayo ni kampuni mama ya PanAfrican Energy, Jay Lyons wakati wa kongamano la Nishati Tanzania 2022 lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment