Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Juma Duni Haji amesema misingi bora ya dini ndio njia pekee ya malezi bora itakayowajenga vijana kuwa wenye nidhamu na maadili mema. Kauli hiyo ameitoa wakati wa sherehe ya Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W huko Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, "misingi na malezi bora huimarisha umoja, udugu na maelewano." amesema Juma Duni Haji.




No comments:
Post a Comment