RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho, Mussa Kombo Bakari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022. (Picha na Ikulu).
WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar leo 1-11-2022. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment