Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa
Vyama Vya Siasa kuhusiana na maamuzi ya Serikali ya kuruhusu kufanyika
kwa Mikutano ya Hadhara kwa Vyama hivyo wakati wa Kikao kilichofanyika
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Januari, 2023.
No comments:
Post a Comment