Benki ya CRDB yadhamini Kongamano la Wafanyabishara na wadau wa masuala ya fedha
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB, Toyi
Ruvumbagu, akizungumza wakati wa kongamano lililowakutanisha
wajasiriamali, wadau wa masuala ya fedha na biashara lililoandaliwa na Mwananchi Communication nakufanyika katika
ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikuwa ni
miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo. (NA MPIGA PICHA WETU).Meneja Mwandamizi wa Biashara Benki ya CRDB, Agnes Kisinini, akitoa mada wakati wa kongamano lililowakutanisha
wajasiriamali, wadau wa masuala ya fedha na biashara lililoandaliwa na Mwananchi Communication nakufanyika katika
ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikuwa ni
miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment