Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitazama
maendeleo ya mkono wa Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye
matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera mara baada
ya kuzungumza naye na kumpa Mkono wa Eid Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Rais Samia aligharamia matibabu ya mtoto huyo kwa muda wa miezi
sita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment