Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Kamilius Membe amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinasema kuwa
Membe alipata changamoto ya kifua na kupelekwa hospitalini leo alfajiri na
kufariki wakati akipatiwa matibabu. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
No comments:
Post a Comment