March 10, 2024

CRDB BANK INTER CLUBS COMPETITION YANOGA, DAR GYMKHANA WASHINDI WA JUMLA

Mkuu wa Jeshi la Anga Meja Jenerali Shaban Mani (wa pili kushoto) na Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili (wa pili kulia), wakimkabidhi nahodha wa Klabu ya Dar Gymkhana, Fred Laiser, baada ya klabu hiyo kuibuka washindi wa jumla katika mashindano ya CRDB BANK INTER CLUBS COMPETITION.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika hafla ya kutoa zawadi ya mashindano ya Golf yajulikanayo CRDB BANK INTER CLUBS COMPETITION, yaliofanyika katika viwanja vya Lugalo Golf jijini Dar es Salaam na kudhamini na benki hiyo.

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya Golf yajulikanayo CRDB  BANK INTER  CLUBS COMPETITION wakipongezana baada ya kumaliza kucheza mchezo wao viwanja vya Lugalo Golf jijini Dar es Salaam na kudhamini.

Waziri wa Utamaduni Sanaa na michezo, Dk, Damas Ndumbalo (katikati) akizungmza na viongozi wa Klabu ya gofu ya Lugalo wakati wa mashindano ya CRDB BANK INTER CLUBS COMPETITION yaliofanyika katika viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam na kudhamini na hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki
ya CRDB, Stephen Adili.

Mkuu wa Jeshi la Anga Meja Jenerali Shaban Mani (wa pili kulia), akiwakabidhi vikombe washindi wa mashindano ya Gofu ya CRDB BANK INTER CLUBS COMPETITION.



 

No comments:

Post a Comment

Pages