March 03, 2024

WANAWAKE WAONGOZA KUCHUKUA FOMU ZA UDIWANI KATA YA KIMBIJI

 

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Bi. Twidike Ntwima (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bi. Nasra Twalib Kimo  wa Chama cha NRA. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Shabani Masiku Chumu wa Chama cha Demokrasia Makini. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, 
Bi. Shani Ally Kitumbua wa Chama cha AAFP. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, 
Bi. Twidike Ntwima (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bi. Rachel Paul Mwikola  wa Chama cha UPDP. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, 
Bw. Michael Makire Mzalendo (UDP). Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Kondo Abdu Hatibu ‘Lukali’. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bw. Innocent Fratern Shirima  Chama cha Kijamii (CCK). Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, 
Bi. Maimuna Mwinyipingu Yusuf (CCM). Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, 
Bi. Twidike Ntwima (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji,  Bi. Neema Kassim Yegeyege (UMD). Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, 
Bi. Twidike Ntwima (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bi. Dianarose Joseph Mhoja (ADA-Tadea). Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bi. Joyce Ephraim Mweigule (DP) . Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Bi. Janeth Pius Mhando (TLP).. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji Halmashauri ya Wilaya Kigamboni, Ricky Pascal (kushoto) akimkabidhi fomu ya uteuzi wa udiwani katika Kata ya Kimbiji, Halima Abdalla Mbago wa Chama cha NLD. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara ambapo Kimbiji ni moja ya kata hizo na uchaguzi unataraji kufanyika Machi 20,2024 ambapo uchukuaji fomu ulianza Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
***************
Na Mwandishi Wetu, Kigamboni
Wanawake tisa ni kati ya wagombea 13 waliojitokeza kuchukua fomu za uteuzi katika Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Mkoani Dares Salaam.
 
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji, Bw.Ricky Pascal amesema mwitikio huo wa wanawake katika masuala ya uchaguzi ni kutokana na hamasa waliyoipata kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaiongoza vyema nchi.
 
“Niwapongeze wagombea wote waliochukua fomu kuwania udiwani katika Kata ya Kimbiji, hasa wanawake walioamua kuwania nafasi kwa wingi kutokana na hamasa waliyoipata kutoka kwa kiongozi wan chi,”alisema Pascal.
 
Pascal amesema, zimesalia siku mbili kwa pazia la kuchukua fomu za uteuzi kufungwa katika uchaguzi mdogo wa udiweani Kata ya Kimbiji lakini mwitikio wa wanawake kushiriki katika uchaguzi huo ni ishara ya ukuaji wa demokrasia nchini.
 
Wagombea hao majina yao na vyama wanavyotoka  katika mabano ni Bi. Shani Ally Kitumbua (AAFP), Bw. Michael Makire Mzalendo (UDP), Bw. Shabani Masiku Chumu (Demokrasia Makini), Bw.Kondo Abdu Hatibu 'Lukali' (CUF), Bi.Halima Abdalla Mbago (NLD), Bw. Innocent Fratern Shirima (CCK) na Bi. Rachel Paul Mwikola (UPDP).
 
Wengine ni Bi. Maimuna Mwinyipingu Yusuf (CCM), Bi. Neema Kassim Yegeyege (UMD), Bi. Dianarose Joseph Mhoja (ADA-Tadea), Bi. Joyce Ephraim Mweigule (DP) , Bi. Janeth Pius Mhando (TLP) na Bi. Nasra Twalib Kimo (NRA).
 
Wagombea hao walikabidhiwa fomu zao za uteuzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kimbiji, Bw. Ricky Pascal na Bi. Twidike Ntwima.  
 
Tume ilitangaza uchaguzi Mdogo katika Kata 23 za Tanzania bara kufanyika Machi 20,2024 na fomu za uteuzi zilianza kutolewa Februari 27 hadi Machi 4 mwaka huu.
 
Mbali na Kata Kimbiji (Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni), Kata zingine zinazofanya uchaguzi ni  Kasingirima (Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji), Ndevelwa (Halmashauri ya Manispaa ya Tabora), Msangani (Halmashauri ya Mji Kibaha), Fukayosi   (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo), Mlanzi (Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti), Utiri (Halmashauri ya Mji Mbinga) na Mbingamhalule (Halmashauri ya Wilaya ya Songea).
 
Nyingine ni  Isebya (Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe), Kibata (Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa),          Mshikamano (Halmashauri ya Wilaya ya Musoma), Busegwe (Halmashauri ya Wilaya ya Butiama), Nkokwa (Halmashauri ya Wilaya ya Kyela), Kamwene (Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba), Chipuputa (Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu), Buzilasoga (Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema), Mhande (Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba), Kabwe (Halmashauri ya Nkasi), Bukundi (Halmashauri ya Wilaya ya Meatu) Mkuzi (Halmashauri ya Wilaya ya Muheza) na Boma, Mtimbwani na Mayomboni (Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga).

No comments:

Post a Comment

Pages