Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson alipokabidhi vyakula kwa Bibi Maligo Daimon baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi Bibi huyo Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust, Dkt Tulia Ackson wakimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kumiabidhi Nyumba ya kuishi iliyojengwa na Taasisi hiyo katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Wazziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment