HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 13, 2026

CRDB, COSTECH zatenga bilioni 4.6 kuwainua vijana wabunifu


Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknorojia,  Wanu Hafidhi Amiri, akizungumza katika mkutano wa kuwatambua wanufaika kupitia mfuko wa, Samia wa ubiasharishaji ubunifu chini ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Costech jijini Dar es Salaam uliodhaminiwa na Benki ya CRDB.


Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknorojia, Wanu Hafidhi Amiri (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Foundation, Tully Mwambapa, wakati wa mkutano wa kuwatambua wanufaika kupitia mfuko wa, Samia wa ubiasharishaji ubunifu chini ya Taasisi ya Sayansi  na Teknolojia Costech jijini Dar es Salaam uliodhaminiwa na benki ya hiyo.


Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Foundation, Tully Mwambapa, akizungumza katika mkutano wa kuwatambua wanufaika kupitia mfuko wa Samia wa ubiasharishaji ubunifu chini ya Taasisi ya Sayansi  na Teknolojia Costech jijini Dar es Salaam uliodhaminiwa na benki ya hiyo jana.



No comments:

Post a Comment

Pages