May 04, 2026
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA 11 WA CHAMA CHA WAENDESHA MASHTAKA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na washiriki wa Mkutano Mkuu wa 11 na Kongamano la Chama cha Waendesha Mashtaka Afrika Mashariki (EAAP), unaofanyika katika Ukumbi wa Blue Sapphire, jijini Dar es Salaam, leo tarehe 4 hadi 6 Mei, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU


No comments:
Post a Comment