Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakitumbuiza wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek
uliofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya
Krismasi jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni
ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek. (Picha na Habari Mseto Blog)
Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade
Wacheza shoo wa FM Academia wakifanya vitu vyao jukwaani
Baadhi ya mashabiki wa FM Academia wazee wa Ngwasuma wakiselebuka









No comments:
Post a Comment