Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera
wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four
Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya
Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Nahodha wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga
akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya
Kikwete baada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya
Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya
Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada
ya timu hiyo kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika
Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi
mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya
penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Four Seasons Safari Lodge
kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja wa Kifaru katika
Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu hizo
zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya
pamoja na timu ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four
Seasons safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya
Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua timu
ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari
Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara.
leo hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa
mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya
wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikagua
timu ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons
Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani
Mara. leo hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla
kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3
ya wapinzani wao.








No comments:
Post a Comment