December 31, 2012

Salamu za kuukarisha Mwaka Mpya wa 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka
mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana  na Serikali yao katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa rasilimali pia kuzingatia  taratibu za kisheria, kwa kuwa na elimu bora ya rasilimali hizo.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Pages