January 27, 2013

MAHAFALI YA 6 YA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na Wageni waalikwa na pamoja na viongozi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam
Waziri Mkuu akiwasili katika hafla ya mahafali ya DIT. 
 Mgeni rasimi Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda (c) akiwa na waziri wa sayansi na teknolojia Profesa Makame Mbarawa (L) katika mahafali ya sita ya Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam kulia kwa waziri mkuu ni mkuu wa chu Prof Jonh Kondoro.
Baadhi ya wahitimu katika Taasisi ya Teknolojia ya Dar es saalam. 

No comments:

Post a Comment

Pages