January 27, 2013

MEYA WA KINONDONI AONGOZA ZOEZI LA USAFI-KINONDONI

 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia) sambamba na viongozi wa Kata ya Ndugumbi, Manispaa hiyo, wakifanya usafi katika Mtaa wa Kagera Mikoroshini, Dar es Salaam leo (Jan 27) ikiwa ni kampeni maalumu ya kuweka safi mazingira katika Kata za Manispaa hiyo.
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (mwenye fulana ya kijani) akizungumza na wakazi wa Kata ya Ndugumbi, Manispaa hiyo (leo Jan 27) kuhusu utunzaji wa mazingira wakati wa zoezi la kuhamasisha usafi kwa wakazi hao leo (Jan 27), Dar es Salaam
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto) sambamba na viongozi wa Kata ya Ndugumbi, Manispaa hiyo, wakifanya usafi katika Mtaa wa Kagera Mikoroshini, Dar es Salaam leo (Jan 27) ikiwa ni kampeni maalumu ya kuweka safi mazingira katika Kata za Manispaa hiyo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (mwenye fulana ya kijani) akizungumza na wakazi wa Kata ya Ndugumbi, Manispaa hiyo (leo Jan 27) kuhusu utunzaji wa mazingira wakati wa zoezi la kuhamasisha usafi kwa wakazi hao leo (Jan 27), Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Pages