MH WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Waziri mkuu Mizengo Pinda amefika katika hospitali ya muhimbili kumpa pole Mkuu wa Mkoa wa Lindi Lodovick Mwananzila amelazwa kwakutokana na ugonjwa wa presha inayo msumbua. (Picha na Chris Mfinanga)
No comments:
Post a Comment