January 06, 2013

MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWAJULIA HERI YA MWAKA MPYA MAJIRANI ZAKE KIJIJINI KIBAONI

 Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwasalimia majirani zake na kuwatakia heri ya mwaka 2013 kijijini kwao kibaoni katavi pichani anaonekana  akiwa ana wasalimu mzee Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe bibi Bernadetha Kabandime Msuluba (79) mh waziri mkuu yupo kijijini kwao kibaoni kwa mapumziko ya krismasi na mwaka mpya. (Picha na Chris Mfinanga)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiuliza bei ya nyama ya mbuzi akiwa katika kijiji cha Kibaoni.

No comments:

Post a Comment

Pages