January 06, 2013

UFUNGUZI WA JENGO LA CHUO CHA UTAWALA WA UMMA,TUNGUU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,alipowasili katika shere za Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,liliopo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na Mkuu wa Wilaya yaKati Vuai Mwinyi,alipowasili katika shere za Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,liliopo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,alipowasili katika shere za Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,liliopo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja, katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora HajiOmar Kheir.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuo  cha Utawala wa Umma,(IPA) Harusi Masheko Ali,alipotembelea madarasa ya kusomea,baada ya ufunguzi rasmi wa Jengo la Chuo hicho uliofanyika jana Tunguu, Wilaya ya Unguja, katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akifuatana na  Waziri waUtawala wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir,(kushoto) pamoja na Viongozi wengine baada ua kulifungua  jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma,walioshiriki katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Chuo hichohuko Tunguu,Wilaya ya Kati unguja jana,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alikuwa Mgeni rasmi.

 Baadhi ya  Viongozi na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Ufunguzi wa  jengo la Chuo cha Utawala waUmma,zilizofayika jana huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi Rais wa Zanzibar,alipokuwa akitoa hutuba yake katika kusherehekea shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akiwahutubia Wananchi,katika sherehe za ufunguzi wa  jengo la Chuo cha Utawala wa Umma,lililopo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja jana,katika shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Maalim Abdalla Suleiman,(wa pili Kulia) na  Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir.

No comments:

Post a Comment

Pages