January 19, 2013

MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA ZANZIBAR ZBC

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,(katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Juliun Raphael,alipowasili katika Viwanja vya  Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,kuufungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)       
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizotolewa katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
 Wadau wa Mkutano wa Saba  (7) wa Baraza la Biashara ZBC  wakiwa  katika Mkutano  Uliofanyika  kwa kujadili masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo ulifanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Wajumbe wa Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar,kutoka Taasisi na Makampuni mbali mbali ,wakifuatilia kwa makini taarifa na mada zilizotolewa katika mkutano huo,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel,Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui.
Wadau wa Mkutano wa Saba  (7) wa Baraza la Biashara ZBC  wakiwa  katika Mkutano  Uliofanyika  kwa kujadili masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo ulifanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

Pages