January 19, 2013

MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MH WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA WAKIWA UWANJA WA NDEGE DSM







Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa wanajadiliana jambo na  Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowasa baada yakushuka katika ndege uwanja wa Dsm wakitokea Dodoma Mh Pinda alikuwa Dodoma katika kufungua mkutano mkuu wa baraza kuu la wafanyakazi wa Serekali za mitaa  nyuma yao ni Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa (TAMISEMI)  Mh Hawa Ghasia wakiwa na Mkuu wawilaya ya kinondoni Mh Rwigembana ambaye alikuja kumpokea waziri mkuu uwanjani hapo picha na chris mfinanga

No comments:

Post a Comment

Pages