January 20, 2013

MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA

 Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifuatilia Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga, Lairence Mwalusako na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Clementi Sanga.

No comments:

Post a Comment

Pages