January 25, 2013

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AVUNJA UKIMYA MAPATO UWANJA WA TAIFA

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makalla akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mgawanyo wa mapato ya Uwanja wa taifa pamoja na malimbikizo ya kodi za makocha wa timu za taifa. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Michezo, Juliana Yassoda, Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah.  (Picha na Habari Mseto Blog)
Naibu Mkurugenzi wa Michezo, Juliana Yassoda, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages