January 01, 2013

WANARIADHA WALIVYOUKARISHA MWAKA 2013

Mmoja wa wanariadha wa mbio za mita 10 akimalizia  mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race, Sarah Ramadhani zilizofanyika usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mather Josepha akipokea zawadi yake.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka akizindua mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race. Kulia ni Katibu Mkuu wa kwanza wa RT, Thomas Daniel.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka akikata keki ya mbio za kuukaribisha mwaka mpya. Kulia ni mwakilishi wa Kampuni ya MeTL iliyodhamini mbio hizo, Cosmas Mtesigwa.
Baadhi ya washiriki wa mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race.

Wanariadha wa mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race wakianza kutimua mbio katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Mbio hizo ziliandaliwa na Nyro Atheletics Club na kudhaminiwa na Kampuni ya MeTL.

Mkurugenzi wa Nyro Atheletics Club, Sarah Ramadhani akizungumza wakati wa mbio hizo.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka akizungumza wakati wa mbio hizo
Mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume, Dickson Marwa akipokea zawadi yake. Kulia ni mwakilishi wa Kampuni ya MeTL, Cosmas Mtesigwa.
Mshindi wa pili kwa wanawake, Mary Naali akipokea zawadi yake.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka (wa pili kulia) akifungua muziki na wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya RT pamoja na waandishi wa habari.


Mwanariadha kutoka Arusha, Mather Joseph (shoto) akiwa na mwanariadha mwenzake

No comments:

Post a Comment

Pages