January 11, 2013

Wateja 70 waibuka washindi kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Patapata na Nokia Ushinde'

 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani,wakati wa kuchezesha droo kubwa ya mwisho ya promosheni ya PATAPATA na Nokia  iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom pamoja na Nokia, msimu wa sikukuu, Jumla ya washindi  70 wamepatikana kupitia droo hiyo,kushoto Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Bw.Mrisho Millao na kulia ni Meneja Masoko wa Nokia Bi.Ellen Lupilli.
 Meneja wa Idara ya vifaa vya mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Elihuruma Ngowi (kushoto) akimpigia simu mmoja wa washindi kati ya 70 walioibuka kidedea wakati wa droo kubwa ya mwisho ya promosheni ya PATAPATA na Nokia  iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom pamoja na Nokia, msimu wa sikukuu, Jumla ya washindi  70 wamepatikana kupitia droo hiyo,kulia ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Bw.Mrisho Millao, na katikati ni Meneja Masoko wa Nokia Bi.Ellen Lupilli.
 Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Bw.Mrisho Millao akishuhudia Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa akiongea na mmoja wa washindi Bw.Fidel Ngowi mkazi wa sinza jijini kupitia simu ya mezani,wakati wa kuchezesha droo kubwa ya mwisho ya promosheni ya PATAPATA na Nokia  iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom pamoja na Nokia, msimu wa sikukuu, Jumla ya washindi  70 wamepatikana kupitia droo hiyo,anaeshuhudia kulia ni Meneja Masoko wa Nokia Bi.Ellen Lupilli. 

003. Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa akisisitiza jambo kwa  waandishi wa habari hawapo pichani,wakati wa kuchezesha droo kubwa ya mwisho ya promosheni ya PATAPATA na Nokia  iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom pamoja na Nokia, msimu wa sikukuu, Jumla ya washindi  70 wamepatikana kupitia droo hiyo,kulia ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Bw.Mrisho Millao, na katikati ni Meneja Masoko wa Nokia Bi.Ellen Lupilli.

No comments:

Post a Comment

Pages