HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 17, 2013

KINANA KWA UTANI....

bk
Mbali ya ratiba ngumu za Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na uchapa kazi wake mara zote awapo kwenye ziara zake, lakini pia amekuwa rafiki mkubwa wa wanahabari na mwenye utani kama anavyoonekana akitania kwa kumvunivuta kwenye shimo, Mkurugenzi wa Mtandao wa wa Fullshangweblog Bw. John Bukuku wakati akikagua ujenzi wa Daraja la mto Mongobakima kata ya Mwasengela, Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu. Ah wadau hapa nacheka lakini kidogo nina kauoga manake uhai ni mtamu jamani.

No comments:

Post a Comment

Pages