HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 17, 2013

RPC MORO AIBARIKI ANATORY POOL CLUB

 RPC, Faustine Shilogile,Mkurugenzi wa Anatory,Anatory Makasi,Uongozi wa TBL Mkoa wa Morogoro na wachezaji wa Club ya Anatory wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 RPC, Faustine Shilogile akisalimiana na Meneja mauzo TBL Mkoa wa Morogoro, Jemes Gomila walipotembelea ofsini kwake.
  RPC, Faustine Shilogile akisalimiana na Mkurugenzi wa Anatory Club,Anatory Makasi walipotembelea ofsini kwake.
 Mkurugenzi wa Anatory Pool Club, Anatory Makasi(wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wachezaji wake kwenye Clab yake kabla ya kuanza ziara.

No comments:

Post a Comment

Pages