Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (kushoto) akipokea mfano wa vocha ya kuchukulia saruji mifuko 300 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Twiga, Pascol Lesoinne (kulia)Dar es Salaam jana kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) linalojengwa katika shule ya Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. Wengine pichani ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye na Meneja Mahusiano ya Jamii wa Twiga Cement, Natasha Dsouza. Ujenzi wa Bwebiu hilo ni mradi wa Miss Tanzania 2013 ambao upo mbioni kukamilika. (Picha na Kamati ya Miss Tanzania)
September 26, 2013
Home
Unlabelled
TWIGA CEMENT WAMKABIDHI SARUJI MISS TANZANIA
TWIGA CEMENT WAMKABIDHI SARUJI MISS TANZANIA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment