JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N
G O M E” Makao Makuu ya
Jeshi,
Telex :
41051 DAR ES SALAAM,19 Septemba,
2013.
Tele Fax :
2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti :
www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
linapenda kuwataarifu Wananchi wote kuwa taarifa zilizoenea kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za
mkononi (sms) na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba JWTZ limeanza
kuajiri wataalamu Jeshini (Professionals) siyo kweli na halina
utaratibu wa kutangaza ajira kupitia mitandao ya kijamii au kupitia simu za
mikononi.
Kwa
kawaida, utaratibu wa kujiunga na Jeshi hutangazwa kwenye Vyombo vya Habari pale
ambapo Jeshi linahitaji kuandikisha askari wapya. JWTZ huelekeza utaratibu wa kuzingatia katika
kuwasilisha maombi husika kwa taarifa hii, wananchi wote wanatahadharishwa
kuhusu ujumbe huo unaoelekea kusababisha usumbufu kwa wananchi na JWTZ. Taarifa hiyo haijatolewa na JWTZ hivyo
wananchi wajihadhari na yeyote atakayejitokeza kuwarubuni na hatimaye kutapeliwa
kwa namna yoyote.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya habari
na Uhusiano
Makao Makuu ya
Jeshi
Dar es salaam, Tanzania
Wale wote wanaotangaza habari hizi potofu, nashauri watafutwe kisha wachukuliwe hatua kali za kisheria ili iwe fundisho kwa wote wenye tabia kama hizi.
ReplyDeletemi nataka kujiunga
ReplyDeletenia umriwa miaka ishirini elimu kidato cha nne division 4 alama 28 ninaniaya dhati ya kujiunga ili kulinda taifa langu.sijajua nifanyeje
ReplyDeletenia umriwa miaka ishirini elimu kidato cha nne division 4 alama 28 ninaniaya dhati ya kujiunga ili kulinda taifa langu.sijajua nifanyeje
ReplyDeletejina naitwa chris nimeitimu kidato cha sita na nilienda jeshi kama mijibu wa sheria hko kigoma hvyo nlipenda sana kuendelea najeshi na nazisubir kwa hamu hizo nafasi kwan nimejifunza mengi sana jeshini na nataman nije nisaidie watu wanaoitaji msaada kupitia jeshi mimi kama ntapata nafasi hyo ya kuajiliwa naomba sana na napenda sana nilinde wanachi na mali zao.
ReplyDeletevp kuhusu umri wa kujiunga ukiwa na profesional
ReplyDeleteumri mwisho miaka 33 kwa professional
ReplyDeletesamahani ningependa kujua utaratibu wa kutuma maombi ya kujiunga na JWTZ
ReplyDeletelakini rushwa inatunyima haki sisi tusio na uwezo na tuna vigezo vyote
ReplyDeletemajanga
ReplyDeletenipo kasulu nimemalizaforn four divition 32 nina certificate ya ICT (information technology) ntapata jeshi coz nalipenda sana jeshi
ReplyDeletehiyo miaka 33 kwa professionals ni kwa level gani ya elimu kati ya cheti,stashahada na shahada?
ReplyDeletewatu waongo kama hao ni kunyonga tu na si kukaa kucheka nao kisa uliwahi soma nae.
ReplyDeletewote mnaopenda kujiunga na jeshi fateni utaratibu uliopo na sio vinginevyo,
ReplyDeleteKuna gharama gani nikitaka kujiunga na jeshi?
ReplyDeletenaitwa thadei andrew mkaz wa dsm nmemariza kidato cha nne2012 n anmejiunga na chuo cha ufundi miaka 2 level2 fani ya fitter mechanics pia na AUTO ELECTRICAL morogoro je naweza pata nafasi ya kujiunga n jesh????? miaka yngu 22 plz nalipendaa jeshi nanipotayar kuli2mikia 0718029761 namb zngu km ntapata nafasi iyo
ReplyDeletenaitaji kujiunga na jeshi,eleimu yangu Diploma in accountancy and finance na pia ni mwanafunzi wa Open University mwaka wa kwanza Bachelor degree of Business management in Accounting. Msaada tafadhali mwenye uelewa au anayeweza kuniunganisha na wahusika. napenda sana jeshi. namba zangu ni 0757206540
ReplyDeleteMwaka huu tunapataje kujiunga na jeshi la wana nchi haswa kwa wale ambao tume enda kwa mujibu Wa sheria operation magufuli
ReplyDeleteKwa mwaka huu itakuwaje napenda kulitumikia taifa langu ajira za jwtz
ReplyDeletesa kwa wale wamemalza fom 6na hawajapangiwa jkt na wanampango wa kujiunga na jeshi wanafanyaje
ReplyDelete