Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana.
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment