December 24, 2013

MELI YA KIVITA KUTOKA CHINA KUWASILI DESEMBA 29                   
                  
          Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (J.W.T.Z) litapokea  ugeni wa Meli Vita kutoka Jamhuri ya watu wa  China tarehe                      29 Desemba 2013 katika Bandari ya Dar es salaam na Meli hizo zitaondoka tarehe 01 Januari 2014 kurudi nchini China.

          Aidha, Waandishi wa Habari wanakaribishwa katika mapokezi hayo mnamo Desemba 29, 2013 saa 3:00 asubuhi ili kufanya Coverage katika ugani huo wa pekee.


Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa mawasiliano: 0783 - 309963

No comments:

Post a Comment

Pages