December 24, 2013

Skylight Band kutoa burudani adimu kwa mashabiki wake ndani ya Escape One sikukuu ya X-mass na Boxing Day
DSC_1309
Kutoka kushoto ni Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anafahamika kama DONODE, DIGNA MBEPERA, SAM MAPENZI na ANETH KUSHABA AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani ambapo X-MASS pamoja na BOXING DAY watakinukisha kwenye kiota cha Escape One kwenye upepo mwanana wa bahari.....Njoo ufurahie mapumziko yako na Band nambari moja mujini wengine wanafuata.
DSC_1315
Aneth Kushaba AK47 katika hisia kali.
DSC_1335
Digna Mbepera akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_1340
Shabiki wa Skylight Band Zulekha alishehereke siku yake ya kuzaliwa ndani ya Thai Village na kupata bahati ya kuimbiwa wimbo maalum wa Happy Birthday na Divas wa Skylight Band.
DSC_1343
Eeeeh Shosti njoo niku-hug mweeee hongera jamani.....!!! Full mashamsham na mashosti zake.
DSC_1344
Mashamsham moto moto....raha iliyoje....!!! Kwa wale wote watakaozaliwa tarehe 25 sikukuu ya X-MASS watapata wasaa wa kuimbiwa wimbo wa Birthday na Skylight Band kama ilivyokuwa kwa mdau pichani.
DSC_1387
Anafahamika kwa jina la Donode ni kipaji kipya cha Skylight Band.....Lione Richie wa Bongo njoo umshuhudie X-Mass hii pamoja na Boxing Day ndani ya Escape One Mikocheni jijini Dar.
DSC_1390
Mdogo mdogo mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga kwenye dancing floor Juma lilipotia.
DSC_1394
Skylight Band inagusa rika zote haijalishi....kama inavyoonekana pichani.
DSC_1401
Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band ikiendelea kumiminika kwa dancing floor.
DSC_1403
Madada wakijiachia kwa raha zao....!!!
DSC_1407
Mary Lukas na Digna Mbepera wakifanya yao jukwaani.
DSC_1416
Tuache sie kwa raha zetu.....Skylight Band ndio mambo yote...!!!
DSC_1424
DSC_1437
Usipime bwana.....Skylight Band ndio mpango mzima...!!!
DSC_1439
Mpiga Drumz wa Skylight Band Idrisa akifanya yake.
DSC_1454
Yachuma minataka mukanda ya chuma.....Mguu wa kushot mbele wa Kulia nyuma......Mashabiki wa Skylight Band wakichiziki na staili hiyo inayobamba kwa kasi.
DSC_1449
DSC_1370
Rappa Joniko Flower akisebeneka vilivyo kuwapa raha mashabiki wake.
DSC_1495
Aneth Kushaba AK47 naye hakubaki nyuma ni mambo ya SKELEWU........SKELEEEEE...!!!
DSC_1372
Baada ya wiki ndefu sasa ni muda wa ku-enjoy holiday na burudani ya Skylight Band......Wadau wakiwa wame-relax huku wakigonga vyombo taratibu.....!!!
DSC_1446
Mtangazaji wa Luninga namba moja la Vijana EATV, Adrian Hillary Stepp akishow love na mdogo wake.
DSC_1459
Digna Mbepera wa Skylight Band akishow love na shosti wake kipenzi.
DSC_1471
Wadau wa Skylight Band wakishow love na Ukodak.
DSC_1473
DSC_1476
Usione kaloa jasho...hii yote ni Gwaride la Skylight Band, huna haja ya Gym hili ni zoezi tosha.
DSC_1478
Mduara ulihusika pia kama kawaida.
DSC_1499
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM, IFM, CBE na vingine kibao walijumuika na Skylight Band kusheherekea mapumziko ya mwisho wa mwaka.
DSC_1500
Walimwagaje radhi kwa raha zao....!!!
DSC_1502
DSC_1508

No comments:

Post a Comment

Pages