HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

January 20, 2014

BENKI YA CRDB YAZINDUA KIPINDI CHA WATOTO CHA LUNINGA CHA JJ BONGO SHOW
Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akimkaribisha  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika kituo cha televisheni cha TBC kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika vituo vya televisheni kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa shele za English Medium wakiingia katika ukumbi Free Market Mall kuangalia kipindi cha watoto cha Luninga cha 'JJ-Ubongo Show' wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho.

Watoto wakiangali katuni.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo.
Maofisa wa benki ya CRDB.
Watoto wakifurahia katuni zilizokuwa zikioneshwa.
Watoto wakiangalia katuni.
Watoto wakiangalia katuni.
Na sisi tunafuhatilia katuni.
Hata wazazi nao walikuwa wakifuatilia katuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akushoto akifuatilia katuni zilizokuwa zikioneshwa kwa ajjili ya kuelimsha watoto.
Baadhi ya watoto wanaosoma katika Shule za English Medium walicheza wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika vituo vya televisheni kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Watoto wakifuatilia uzinduzi wa kipicha cha Luninga cha 'JJ-Bongo Show'

Baadhi ya watoto wanaosoma katika Shule za English Medium walicheza wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika vituo vya televisheni kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 

No comments:

Post a Comment

Pages