Keki iliyoandaliwa na uongozi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo kwa ajili ya sherehe za kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo, ambapo wateja wa benki hiyo walijumuika na wafanyakazi wa tawi hilo kusherehekea kwa pamoja.
Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2 kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi la Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo, Angelitha Msaki.

Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke (kulia), akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa benki ya CRDB tawi la Ubungo, wakati wa hafla ya kutimiza mika 2 tangu kuanzishwa kwa tawi hilo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mteja wa Benki ya CRDB, Ester Lawrance (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke wakati wa hafla ya kutimiza miaka 2 tangu kuanzishwa kwa benki hiyo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakipata keki wakagti wa hafla hiyo.
Karibuni wateja wetu....Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo na wa Kati, Eribariki Masuke akiwapa keki wateja wa benki hiyo waliofika katika tawi la Ubungo.
No comments:
Post a Comment