Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan
Mwinyi,(kushoto) akiwa mlezi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti
Saad akifuatiwa na Mwenyekiti wake Bibi Nasra Mohamed Halal, wengine
kulia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk,wakiwa katika
Uzinduzi wa Taasisi hiyo iliyozinduliwa jana katika ukumbi wa Salama Hall
Bwawani Hote, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar, (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Kikundi cha Taarab asilia
cha Rahatu zamani,kikitoa burudani yao wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,(pichani) Muharami Mohamed,kitukuu akiimba moja ya nyimbo za
Marehemu Bibi Siti Binti Saad, (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment