January 31, 2014

SKYLIGTH BAND NDANI YA KIOTA CHA VILLAGE LEO
DSC_0012
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 (katikati) kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita  ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar ambapo leo pia watakuwa pale pale  kwenye uwanja wao wa nyumbani. Kulia ni Digna Mbepera na kushoto ni Winfrida Richard.
DSC_0028
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo (kulia) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Hashim Donode.
DSC_0058
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na muziki muziri ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0008
Mary Lucos na Digna Mpebera wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0105
Rappa Joniko Flower akifanya yake jukwaani huku Digna Mbepera na Sony Masamba wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka.
DSC_0081
Muziki mzuri na watu wastarabu si pengine ni Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar kila siku za Ijumaa kuanzia saa usiku na kuendelea.
DSC_0111
DSC_0113
Palitapikaje.....Pata picha usiku wa leo sasa na hivi kitu cha Salary kishatoka..!! Mara moja kwa mwezi sio mbaya.
DSC_0145
Winfrida Richard akifanya yake jukwaani huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.
DSC_0155
Mheshimiwa Bundala kama kawaida yake ndani ya Vest.
DSC_0170
Kuwafundisha tuwafundishe sie halafu mtuzidi????.... Vijana wa Skylight Band wakitikisa jukwaaa.
DSC_0167
Mwenye mamcho haambiwi ona... Skylight Band ndio habari ya mujini 2014. SKELEWU ......SKELEWU.......!!
DSC_0178
Sam Mapenzi a.k.a Sukari ya warembo akipagawisha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0189
Sam Mapenzi a.k.a Sukari ya warembo akililiwa asipande jukwaani na mashabiki wake.
DSC_0085
Mpiga Solo wa Skylight Band Joshua akiling'uta vilivyoo gitaa lake.
DSC_0130
Kijana mtanashati kutoka kundi la Wadananda akiwa amestarehe kwenye kiti kutegeshea mrembo wa kucheza naye mdaura hapo kati..!
DSC_0139
Mdau Gerald Kilimo akiwa na mfanyakazi mwenzake walikuja kupunguza stress za kazi na burudani ya Skylight Band.
DSC_0120
Back stage ya wasanii wa Skylight Band: Pichani juu Kulia ni Winfrida Richard na Digna Mbepera, Picha ya Chini ni Kulia ni Hashim Donode na Mary Lucos.
DSC_0123
DSC_0097
Wadau wa Skylight Band na Ukodak.
DSC_0100
Wadau na Ukodak Moment.
DSC_0206
Wadau wa Skylight Band na Msanii Hashim Donode katika picha ya ukumbusho.
DSC_0182
Mary Lucos akipata Ukodak na Mama Kisso Mundende.
DSC_0184
Mama Kisso wakipata Ukodak na Aneth Kushaba AK 47 a.k.a Mjasiriamali mpango mzima wa kupendeza kichwani unaweza kumwona yeye...!
DSC_0197
Aneth Kushaba akibadilishana mawazo na Mtangazaji wa kipindi cha Mama Land Benny Kinyaiya wa Clouds fm.

No comments:

Post a Comment

Pages