January 24, 2014

ZIARA ZA CHADEMA MIKOANI
Baadhi ya wananchi walikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali juzi. (Picha zote na Joseph Senga) 
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wananchi wa mji wa Kyela, katika mkutano wa hadhara wa Oporasheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Siasa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Kyela, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, kwenye Uwan ja wa Siasa.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, Nocodemos Mwakalile, wakati wa mkutanowa hadhara.
 Baadhi ya wakazi wa Peramiho wakiitikia kibwagizo cha 'Peoples Power wakatiwa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Mbamba Bay, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Pamoja Daima juzi.

No comments:

Post a Comment

Pages