February 24, 2014

FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA), KANDA YA MASHARIKI ILIVYONOGA
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea  jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana pamoja na familia zao katika siku ya  Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo  mkoani Pwani.
02. Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa kuadhimisha siku ya Familia(FamilyDay) iliyofanyika  katika ufukwe wa  Livingstone Wilayani Bagamoyo.
 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Livingston Bagamoyo ,Hafla hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia zao.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa  akimkabidhi  mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngoza Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa  Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
 Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
 Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo  jana.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa  akimkabidhi  Kuku David Mapunda baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa  siku ya Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
 Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki  Eng. Oscar Mwanjesa, akimkabidhi   Zainabu  Sadiki kuku baada ya kuwashinda wenzake   katika shindano la kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Bagamoyo.
 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia  wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
 Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
11.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa mitano ya Morogoro,Pwani, Mtwara.Lindi,na Dar es Salaam. Wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao wakati wa siku ya family Day iliyofanyika  katika Hoteli ya Livingston iliyop Wilayani Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment

Pages