February 24, 2014

Ikulu SACCOS Yajitambulisha kwa Balozi Sefue
 Viongozi wa Ikulu Saccos wakiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Watatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wa Ikulu SACCOS wakati walipokwenda kujitambulisha na kukabidhi ripoti ya utendaji ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wa kwanza kushoto ni  Mwenyekiti wa SACCOS hiyo Bwana Theofrid Kikombele, Wapili kushoto ni Katibu wa SACCOS hiyo Bwana David Kivembele na kulia ni mshauri mkuu wa SACCOS hiyo Bwana Joseph Sanga.

No comments:

Post a Comment

Pages