February 16, 2014

KERO ZA BARABARA JIJI LA DAR ES SALAAM
Magari yakipita kwa shida katika mtaa wa Mkwepu jijini Dar es salaam. Barabara nyingi katika jiji la Dar es salaam zimekuwa zikipitika kwa shida kutokana na miundombinu kuharibika na kuachwa bila ya kufanyiwa kazi na wahusika. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages