February 18, 2014

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA TRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumzo. 

No comments:

Post a Comment

Pages