February 18, 2014

Vodacom yafungua duka jipya Msasani
Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka jipya la Vodacom maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia kutoka kulia kwake ni Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na Msimamizi wa Maduka ya Vodacom Magret Lawrence. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.
 Meneja wa Vodacom wa kibiashara wilaya ya Kinondoni Edger Jonas akiwakaribisha wafanyakazi wa Vodacom kwenye duka jipya la Msasani alililolizindua kutoka (kulia) kwake ni Meneja wa Uhusiano wa Nje wa  Vodacom Salum Mwalim Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi na Meneja wa Duka hilo Ally Mzee. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.
Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi akimkabidhi funguo ya duka la Msasani Meneja wa Duka hilo la Vodacom Ally Mzee mara baada ya kuzinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa duka hilo unakuwa ni jumla ya maduka 76 ya Vodacom yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.
 Mteja wa kwanza wa duka la Vodacom Msasani Ndugu Abdalah Ibrahim akifatilia kwa umakini maelezo ya Msimamizi wa Maduka ya Vodacom Magret Lawrence kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye duka hilo mara baada ya uzinduzi wake jijini Dar es Salaam, anaeshuhudia kutoka (kulia) kwa mteja ni Meneja wa Uhusiano wa Nje Salum Mwalim. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.
 Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi akifungua shampeni kuashiria uzinduzi wa duka la Vodacom Msasani jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.
Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi akikabidhi fulana kwa mteja wa kwanza kuja kwenye duka la Vodacom Msasani  Ndugu Abdalah Ibrahim  mara baada ya uzinduzi wa duka hilo jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.

No comments:

Post a Comment

Pages